Wenye fani, sifa hizi ajira nje nje Polisi Jeshi la Polisi limetangaza nafasi mbalimbali za ajira kwa vijana wenye elimu ya shahada, astashahada, kidato cha sita na nne, huku moja ya sifa kwa muombaji lazima awe raia wa Tanzania wa kuzaliwa.
PRIME Ukweli kuhusu ‘ardhi inayotembea’ Muleba, athari zake kwa wananchi Wananchi waeleza athari zilizowakumba na taabu wanazopata
PRIME Jinsi Maisha yalivyo mchana, usiku Stendi ya Magufuli Stendi hiyo iliyogharimu Sh50.9 bilioni, iliyopo Mbezi Luis, Wilaya ya Ubungo, ilizinduliwa Februari 22, 2021 na hayati Rais John Magufuli.
PRIME Jinsi wazazi wanavyoua, kukuza vipaji vya watoto “Katika kipindi hiki cha changamoto ya ajira, pengine wazazi wangu wangeruhusu kipaji changu cha uchezaji mpira kuendelezwa kingenisaidia kuajirika.”
Wagombea kanda nne Chadema kikaangoni kesho Nafasi zinazowaniwa ni za mwenyekiti wa kanda, makamu mwenyekiti, mtunza hazina na watendaji wa mabaraza ya chama hicho –Bavicha, Bazecha na Bawacha.
PRIME Uvunjaji mikataba usiofuata sheria wamliza wakili mkuu Uvunjaji huo wa mikataba licha ya kutozingatia sheria na kanuni, amesema unapofanyika ofisi yake haishirikishwi.
Wenye fani, sifa hizi ajira nje nje Polisi Jeshi la Polisi limetangaza nafasi mbalimbali za ajira kwa vijana wenye elimu ya shahada, astashahada, kidato cha sita na nne, huku moja ya sifa kwa muombaji lazima awe raia wa Tanzania wa kuzaliwa.
Jamii yahamasishwa ushiriki Mwenge wa Uhuru Mbio za mwenge zinaelimisha na kuhamasisha jamii ya Watanzania kuzingatia lishe bora, mapambano dhidi ya rushwa, mapambano ya VVU na dawa za kulevya
Mambo matatu kuwakutanisha Chadema Dar kesho Uchaguzi wa kanda hizo za awali, umekuwa na mvutano, hususan Kanda ya Nyasa na kuna wagombea wawili maarufu wanaochuana ambao ni mbunge wa zamani wa Mbeya Mjini, Joseph Mbilinyi maarufu Sugu na...
NBS yataja viashiria vinne vya kukuza uchumi wa Tanzania Dodoma. Ofisi ya Taifa ya Takwimu imetoa taarifa ya viashiria vinne vya ukuaji wa uchumi huku ikitaja kuongezeka kwa uzalishaji wa umeme kwa asilimia 9.5, baada ya Bwawa la Mwalimu Nyerere...
Burnley yarejea Championship Baada ya kupanda msimu huu na kukusanya pointi 24 katika mechi 37 za Ligi Kuu England, rasmi vijana wa Vincent Kompany, Burnley wameshuka daraja.
Waigizaji wa kiume matajiri zaidi duniani Wasanii wa maigizo ni watu wenye ushawishi zaidi duniani na hujizolea umaarufu kutokana na vipaji na taaluma walizonazo, ambazo zinawabeba na kuwafanya wajulikane huku uvaaji wao wa uhusika...
Uhuru wa habari ni wajibu wa kila mdau Leo ni Siku ya Uhuru wa Vyombo vya Habari Duniani, ambayo huadhimishwa Mei 3, kila mwaka. Katika siku hii, wadau wanapata nafasi ya kutafakari umuhimu wa tasnia ya habari katika kuchochea uhuru...