VIDEO: Askari Kinapa, mgambo matatani wakituhumiwa kwa mauaji Mke asimulia ilivyokuwa, wananchi wachoma magogo, mambomba barabarani
PRIME Ukweli kuhusu ‘ardhi inayotembea’ Muleba, athari zake kwa wananchi Wananchi waeleza athari zilizowakumba na taabu wanazopata
PRIME Jinsi Maisha yalivyo mchana, usiku Stendi ya Magufuli Stendi hiyo iliyogharimu Sh50.9 bilioni, iliyopo Mbezi Luis, Wilaya ya Ubungo, ilizinduliwa Februari 22, 2021 na hayati Rais John Magufuli.
Rais Samia mwenyekiti mwenza mkutano wa nishati safi ya kupikia Amealikwa na Dk Fatih Birol, ambaye ni Mkurugenzi Mtendaji wa Taasisi ya Kimataifa ya Nishati (IEA). Wawili hao hao watakuwa wenyeviti wenza katika mkutano huo.
Wagombea kanda nne Chadema kikaangoni kesho Nafasi zinazowaniwa ni za mwenyekiti wa kanda, makamu mwenyekiti, mtunza hazina na watendaji wa mabaraza ya chama hicho –Bavicha, Bazecha na Bawacha.
PRIME Uvunjaji mikataba usiofuata sheria wamliza wakili mkuu Uvunjaji huo wa mikataba licha ya kutozingatia sheria na kanuni, amesema unapofanyika ofisi yake haishirikishwi.
Wadau waja na mbadala wa mabanda umiza Dar es Salaam. Wakati kukiwa na mkazo wa masomo ya sayansi, teknolojia, uhandisi na hisabati (STEM), wadau wa elimu wamebuni mpango wa kujifunza kuanzia ngazi za chini kwa kuanzisha mradi wa...
Jamii yahamasishwa ushiriki Mwenge wa Uhuru Mbio za mwenge zinaelimisha na kuhamasisha jamii ya Watanzania kuzingatia lishe bora, mapambano dhidi ya rushwa, mapambano ya VVU na dawa za kulevya
Mambo matatu kuwakutanisha Chadema Dar kesho Uchaguzi wa kanda hizo za awali, umekuwa na mvutano, hususan Kanda ya Nyasa na kuna wagombea wawili maarufu wanaochuana ambao ni mbunge wa zamani wa Mbeya Mjini, Joseph Mbilinyi maarufu Sugu na...
NBS yataja viashiria vinne vya kukuza uchumi wa Tanzania Dodoma. Ofisi ya Taifa ya Takwimu imetoa taarifa ya viashiria vinne vya ukuaji wa uchumi huku ikitaja kuongezeka kwa uzalishaji wa umeme kwa asilimia 9.5, baada ya Bwawa la Mwalimu Nyerere...
Mbappe anaacha mabilioni haya PSG Mbappe alisajiliwa na PSG mwaka 2017 akitokea Monaco kwa ada ya uhamisho kiasi cha Euro 180 milioni na kufanya awe mchezaji wa pili ghali duniani nyuma ya Neymar ambaye PSG ilimnunua kwa ada ya...
Waigizaji wa kiume matajiri zaidi duniani Wasanii wa maigizo ni watu wenye ushawishi zaidi duniani na hujizolea umaarufu kutokana na vipaji na taaluma walizonazo, ambazo zinawabeba na kuwafanya wajulikane huku uvaaji wao wa uhusika...
Uhuru wa habari ni wajibu wa kila mdau Leo ni Siku ya Uhuru wa Vyombo vya Habari Duniani, ambayo huadhimishwa Mei 3, kila mwaka. Katika siku hii, wadau wanapata nafasi ya kutafakari umuhimu wa tasnia ya habari katika kuchochea uhuru...
PRIME Sababu wanaume kuwa hatarini kupata kiharusi Miongoni mwa tabia hatarishi kwa wanaume ni kutokuwa na mwamko wa kusaka matibabu, ikilinganishwa na wanawake.