PRIME Shekilango alivyofariki katikati ya misheni maalumu Uganda Jumapili ya Novemba 9, 1975, mara baada ya uchaguzi mkuu wa mwaka huo, Rais Julius Nyerere alitangaza Baraza jipya la Mawaziri lililokuwa na wizara mbili mpya ambazo ni Wizara ya Sheria na Wizara...
Mvua zazamisha kisiwa Musoma, Serikali yahamishia wakazi kisiwa jirani Kisiwa hicho kimezama kufuatia mvua zinazoendelea kunyesha, ingawa hadi sasa hakuna madhara kwa binadamu zaidi ya nyumba za makazi kuzama ziwani.
PRIME Mashambulizi ya Lissu alianzia Kaskazini na Rais Samia, akaigeukia Kusini Ndani ya wiki mbili zilizopita, Makamu Mwenyekiti wa Chadema Tanzania Bara, ametoa kauli mbili nzito. Mosi, mkoani Manyara, alitamka maneno yaliyotafsiriwa kama shambulizi kwa CCM na Rais Samia...
PRIME Wabunge wabainisha kasoro ubora wa elimu, wapendekeza njia za kuweka sawa Wabunge wameichangia bajeti ya Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia nchini Tanzania wakionyesha kinachochangia kushusha ubora wa elimu nchini na kupendekeza kipi cha kufanyika.
Mwanafunzi apotea, mwili wakutwa kwenye shimo la choo Mwanafunzi wa darasa la pili katika Shule ya Msingi Carisa, Angel John aliondoka nyumbani kumfuata dada yake aliyeenda kusuka
PRIME Dk Ndugulile kupeperusha bendera ya Tanzania WHO Vyanzo vya habari kutoka Wizara ya Afya vililiambia Mwananchi kuwa Dk Ndugulile, ambaye aliwahi kuwa Naibu Waziri wa Afya, ndiye atakayeshindanishwa na wagombea wengine kutoka nchi nyingine...
Mwanafunzi apotea, mwili wakutwa kwenye shimo la choo Mwanafunzi wa darasa la pili katika Shule ya Msingi Carisa, Angel John aliondoka nyumbani kumfuata dada yake aliyeenda kusuka
Wasichana wapewa mbinu kumudu masomo ya sayansi Kikubwa kinachoangaliwa ni kubuni na kutengeneza mifumo inayotatua changamoto za jamii
PRIME Kwa nini mhimili wa nne unahitaji kuwezeshwa? Wiki hii nzima, nimekuwa jijini Dodoma kuhudhuria mikutano mitatu muhimu ya mambo ya habari. Tulianza na mkutano mkuu wa 13 wa mwaka wa Jukwaa la Wahariri Tanzania (TEF), mgeni rasmi alikuwa...
Uzalishaji korosho wapaa, sababu zatajwa Louis Kolumbia, Mwananchi [email protected] Dar es Salaam. Uzalishaji wa korosho umepanda kwa tani 115,900, kutoka 189,114 zilizozalishwa msimu wa 2022/23 hadi tani 305,014 katika...
Refa wa Mamelodi, Yanga apewa fainali Ligi ya Mabingwa Afrika Dar es Salaam. Refa Beida Dahane ameteuliwa na Shirikisho la Mpira wa Miguu Afrika kusimamia teknolojia ya video ya usaidizi kwa marefa (VAR) katika mechi ya kwanza ya fainali ya Ligi ya Mabingwa...
Akili bandia yatumika kudanganya uwepo wa Rihanna 'Met Gala' Baada ya kuripotiwa kuwa mwanamuziki Rihanna hakuweza kuhudhuria katika tamasha la mitindo la ‘Met Gala’ lililofanyika nchini Marekani, baadhi ya watu wametengeneza picha ‘feki’ za msanii huyo...
Uhuru wa habari ni wajibu wa kila mdau Leo ni Siku ya Uhuru wa Vyombo vya Habari Duniani, ambayo huadhimishwa Mei 3, kila mwaka. Katika siku hii, wadau wanapata nafasi ya kutafakari umuhimu wa tasnia ya habari katika kuchochea uhuru...
Mpenzi wako ana hasira? Fanya haya… Katika mahusiano ya aina yoyote, hakuna anayeweza kusema hajawahi kukasirika. Mara kwa mara tunakwazana na kukasirishana, ingawa wako wale ambao hasira yao iko karibu zaidi na huja kwa ukali...