Rais Samia aagiza bei ya gesi kupungua Imeelezwa kuwa, jukumu la Serikali ni kutunga sera wezeshi kufikia malengo ya mkakati na kutoa elimu kwa wananchi, huku Wizara ya Nishati ikiwa na jukumu la kuhakikisha nishati safi inapatikana...
PRIME SMZ, kampuni ya Thailand zinavyovutana malipo ya mchele Mei 16, 1997, Mahakama Kuu ya Zanzibar, iliiamuru SMZ kuilipa kampuni ya Thailand deni la msingi la mchele ulioagizwa kati ya mwaka 1986 mpaka 1988
PRIME Mashambulizi ya Lissu alianzia Kaskazini na Rais Samia, akaigeukia Kusini Ndani ya wiki mbili zilizopita, Makamu Mwenyekiti wa Chadema Tanzania Bara, ametoa kauli mbili nzito. Mosi, mkoani Manyara, alitamka maneno yaliyotafsiriwa kama shambulizi kwa CCM na Rais Samia...
Uamuzi wa Polisi wasubiriwa maziko ya mwanafunzi aliyekukutwa amefariki shimoni Mwanafunzi Angel alipotea Mei 6, 2024 baada ya kuondoka nyumbani kwao akimfuata dada yake aliyekuwa amekwenda kusuka mtaa wa jirani na makazi ya familia yao
Mwanafunzi apotea, mwili wakutwa kwenye shimo la choo Mwanafunzi wa darasa la pili katika Shule ya Msingi Carisa, Angel John aliondoka nyumbani kumfuata dada yake aliyeenda kusuka
PRIME Ongezeko la maji Ziwa Victoria, Tanganyika linavyowaathiri wavuvi, wananchi Diwani wa Lamadi, Bija Laurent amesema wananchi wa maeneo yaliyoathiriwa na maji hayo baada ya kuongezeka Ziwa Victoria hawana chakula
Mwenge wa Uhuru wamulika ununuzi wa umma Mwaka 2023 Mamlaka ya Udhibiti wa Ununuzi wa Umma (PPRA) ilianzisha mfumo mpya wa ununuzi wa kieletroniki (NeST) utakaosaidia kudhibiti rushwa wakati wa mchakato wa zabuni, ucheleweshaji na...
Petroli yapanda, dizeli ikishuka Zanzibar Bei ya petroli imepanda kutoka Sh3,133 ya Aprili hadi Sh3,182 kwa lita moja ikiwa ni tofauti ya Sh49 sawa na asilimia 1.56
PRIME Kwa nini mhimili wa nne unahitaji kuwezeshwa? Wiki hii nzima, nimekuwa jijini Dodoma kuhudhuria mikutano mitatu muhimu ya mambo ya habari. Tulianza na mkutano mkuu wa 13 wa mwaka wa Jukwaa la Wahariri Tanzania (TEF), mgeni rasmi alikuwa...
Uzalishaji korosho wapaa, sababu zatajwa Louis Kolumbia, Mwananchi [email protected] Dar es Salaam. Uzalishaji wa korosho umepanda kwa tani 115,900, kutoka 189,114 zilizozalishwa msimu wa 2022/23 hadi tani 305,014 katika...
Yanga yatumia dakika 170 kuziona nyavu za Kagera Sugar Mchezo wa mwisho kwa Kagera Sugar kuifunga Yanga katika Ligi Kuu Bara ulikuwa ni ushindi wa mabao 3-0, ikiwa chini ya aliyekuwa Kocha Mkuu, Luc Eymael mechi iliyopigwa kwenye Uwanja wa Uhuru...
Mafundi 163 watumika kutengeneza vazi la Alia Bhatt Vazi alilovaa mwigizaji kutoka India Alia Bhatt kwenye tamasha la mitindo duniani ‘Met Gala’ lililofanyika Mei 6 mwaka huu katika ukumbi wa ‘Metropolitan Museum of Art’ Manhattan, New York City,...
Uhuru wa habari ni wajibu wa kila mdau Leo ni Siku ya Uhuru wa Vyombo vya Habari Duniani, ambayo huadhimishwa Mei 3, kila mwaka. Katika siku hii, wadau wanapata nafasi ya kutafakari umuhimu wa tasnia ya habari katika kuchochea uhuru...
Mpenzi wako ana hasira? Fanya haya… Katika mahusiano ya aina yoyote, hakuna anayeweza kusema hajawahi kukasirika. Mara kwa mara tunakwazana na kukasirishana, ingawa wako wale ambao hasira yao iko karibu zaidi na huja kwa ukali...