Kimbunga Hidaya chakata mawasiliano mikoa ya Kusini- Dar “Uharibu ni mkubwa hatuwezi kurekebisha kwa kipindi kifupi. Tumeshauri watu wasitishe safari au wazunguke Songea (mkoani Ruvuma) kama ni dharura ili wasije kuathirika. Ni vema watu wa Lindi...
13 wajeruhiwa ajali ya basi Masasi, dereva akikwepa shimo katikati ya barabara Kamanda Suleiman amesema chanzo cha ajali hiyo ni shimo kubwa lililopo katikati ya barabara ambapo wakati dereva anajaribu kulikwepa, basi lilikatika spring na kupinduka.
Kinana: Katiba mpya, tume huru ya uchaguzi si sababu pekee ya kushinda uchaguzi Akijenga hoja hiyo, Kinana ametoa mfano wa nchi jirani bila kuitaja, kwamba wamepigania Katiba na Tume huru ya uchaguzi kwa muda mrefu na wameipata, lakini kuna watu wamegombea (chini ya katiba...
MOI yathibitisha kifo cha 'Director' Khalfani Taasisi ya Mifupa na Mishipa ya Fahamu Muhimbili (MOI) imethibitisha kifo cha muongozaji wa video za muziki nchini Tanzania, maarufu ‘Director Khalfani Khalmandro’.
Pacha wa miezi mitano wafariki kwa kuungua moto Morogoro Marugujo ameiambia Mwananchi Digital leo Mei 5,2024 kuwa taarifa za wito walizipokea majira ya saa 3 usiku lakini kutokana na ubovu wa miundombinu hususan ya barabara walichelewa na walipofika...
Wafanyabiashara Coco Beach waeleza magumu ya kimbunga Hidaya Kwa kawaida wananchi wanaokwenda kupunga hewa ni miongoni mwa wateja wa wafanyabiashara mbalimbali zikiwamo za vyakula na vinywaji kwenye maeneo ya fukwe hizo.
Zitto na Othman wapania kuongoza dola 2025 Katika hotuba yake, mwanasiasa huyo aliyestaafu uongozi wa juu ndani ya chama hicho, amesema yupo tayari kwa kila namna na wakati wowote kuwa Rais wa Tanzania. Huku akimpa jukumu la kufanya hivyo...
Wasichana wapewa mbinu kumudu masomo ya sayansi Kikubwa kinachoangaliwa ni kubuni na kutengeneza mifumo inayotatua changamoto za jamii
Miaka 20 ya Poland ndani ya Umoja wa Ulaya Leo, Mei Mosi, Poland inaadhimisha miaka 20 tangu ilipojiunga na Umoja wa Ulaya (EU) mwaka 2004. Kipindi hicho, ilipokea kundi kubwa la nchi 10 za Ulaya Mashariki na Kati, ikiwemo Poland ambazo...
Uzalishaji korosho wapaa, sababu zatajwa Louis Kolumbia, Mwananchi [email protected] Dar es Salaam. Uzalishaji wa korosho umepanda kwa tani 115,900, kutoka 189,114 zilizozalishwa msimu wa 2022/23 hadi tani 305,014 katika...
Foden azoa tuzo akimpiku Rice wa Arsenal Phil Foden amechaguliwa kuwa Mchezaji Bora wa Mwaka wa England kwenye tuzo zinazotolewa na Chama cha Waandishi wa Habari za Soka nchini England.
MOI yathibitisha kifo cha 'Director' Khalfani Taasisi ya Mifupa na Mishipa ya Fahamu Muhimbili (MOI) imethibitisha kifo cha muongozaji wa video za muziki nchini Tanzania, maarufu ‘Director Khalfani Khalmandro’.
Uhuru wa habari ni wajibu wa kila mdau Leo ni Siku ya Uhuru wa Vyombo vya Habari Duniani, ambayo huadhimishwa Mei 3, kila mwaka. Katika siku hii, wadau wanapata nafasi ya kutafakari umuhimu wa tasnia ya habari katika kuchochea uhuru...
Mpenzi wako ana hasira? Fanya haya… Katika mahusiano ya aina yoyote, hakuna anayeweza kusema hajawahi kukasirika. Mara kwa mara tunakwazana na kukasirishana, ingawa wako wale ambao hasira yao iko karibu zaidi na huja kwa ukali...