Search

1569 results for Sharon Sauwa :

  1. Wabunge wataka hatua za ziada kudhibiti tembo

    Serikali yaeleza hatua inazochukua kudhibiti tembo kwenye makazi ya watu na kusababisha madhara ikiwemo vifo na kuharibu mazao shambani.

  2. JKT yafufua boti iliyoharibika miaka 20 iliyopita

    Akizindua boti hiyo Aprili 30, 2024, Brigedia Jenerali Hassan Mabena amesema boti hiyo itatumika katika shughuli za ulinzi wa Ziwa la Tanganyika hususan kupamba na wavuvi haramu na wahalifu...

  3. Bunifu 42 za Kitanzania tayari kwenda sokoni

    Serikali imetaja mafanikio ya kuendeleza bunifu ikiwa ni pamoja na 42 kufikia hatua ya kuingia sokoni

  4. Kahawa kuuzwa kwa ‘bajaji’ kukuza soko

    Kuna mkakati wa kubuni na kutengeneza migahawa inayotembea kwa kutumia pikipiki za miguu mitatu zitakazotumika kuuza wa kahawa katika maeneo mbalimbali ya umma na kwenye mikusanyiko ya watu

  5. Serikali kujenga nyumba 562 za walimu

    Hayo yamesemwa leo Jumanne Aprili 30, 2024 na Naibu Waziri wa Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (Tamisemi), Zainabu Katimba wakati akijibu swali la Mbunge wa viti maalumu Jacqueline Andrew

  6. Serikali kuunda timu tatu kuelekea Afcon 2027

    Serikali ina mpango wa kuunda timu tatu imara za soka za Taifa kulingana na umri ambazo zitashiriki mashindano ya Afcon 2027 na mengine ambayo nchi itashiriki.

  7.  Dk Biteko kusaidia vyombo vya habari vilipwe malimbikizo ya madeni

    “Nitamwomba Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa na viongozi wakuu wa Serikali wazisihi wizara na taasisi za umma zitenge bajeti ya kutosha kulipia gharama za matangazo pindi wanapotumia huduma hii kwa...

  8. Barabara hazitajengwa pembeni mwa reli ya SGR

    Waziri Kasekenya asema kwa mujibu wa Sheria ya Reli Na. 10 ya mwaka 2017, hifadhi ya reli ni mita 30 kutoka katikati ya reli kila upande.

    New Content Item (1)
  9. Serikali yaeleza TCU inachofanya Zanzibar

    Serikali yasema kwa sasa Tume ya Vyuo Vikuu Tanzania inafanya kazi kwa mtandao hivyo mtu yeyote anaweza kuifikia akiwa upande wowote wa muungano, ndani na nje ya nchi.

  10. Sauti alivyogeuza changamoto soko la nyanya kuwa fursa

    Asema ameondokana na wasiwasi wa bidhaa kuharibika na kuiwezesha kudumu kati ya mwaka mmoja hadi miwili bila kuharibika na sasa anafikiria kusajili jina na kiwanda chake kidogo.

Page 1 of 157

Next