Mtayarishaji wa muziki nchini Tanzania, Master J amesema huwa anawashangaa watu wanaomchukulia poa msanii Diamond Platnumz licha ya kuwa ana mchango mkubwa katika muziki wa Bongofleva.
Mbolea ni miongoni mwa changamoto zinazowakabili wakulima nchini Tanzania, mwishoni mwa wiki kampuni ya YARA imezindua mbolea mpya inayojulikana...
Makamu wa Rais Samia Suluhu Hassan alitoa rai hiyo wakati akizungumza na wafanyabiashara wa sekta binafsi waliohudhuria Mkutano ulioandaliwa na...
Thamani ya shilingi ya Tanzania inapimwa kwa kuilinganisha na nyingine duniani. Kiwango cha kubadilisha shilingi kwa sarafu nyingine ndicho...
Taarifa ya hali ya uzalishaji wa chakula kwa kuzingatia kigezo cha upimaji wa kiwango cha utoshelevu inaonyesha kuwa kwa mwaka wa chakula 2019/20...