Dhamana ya ‘Boni Yai’ yadunda, asota rumande Wakati Jeshi la Polisi likikiri kumshikilia kada wa Chadema na mwanamitandao, Boniface Jacob maarufu ‘Boni Yai’, wakili wa chama hicho, Hekima Mwasipu amesema mteja wake amekosa dhamana.
Simulizi ya kijana anayewasaidia nyoka wasiuawe na binadamu Ukistaajabu ya Mussa, hutayaona ya Filauni. Ndivyo unaweza kuelezea kisa cha kijana huyu anayejiita ‘rafiki wa nyoka’ kutokana na ukaribu alioujenga na mnyama huyo.
LHRC yatoa kauli kukamatwa kwa 'Boni Yai' Kituo cha Sheria na Haki za Binadamu (LHRC) kimetoa wito kwa Jeshi la Polisi kufafanua tuhuma zinazomkabili aliyekuwa Meya wa Ubungo, Boniface Jacob maarufu Boni Yai na kuhakikisha uchunguzi...
Hivi ndivyo unaweza kuwa mtoto halali na usiwe na haki ya kurithi Kama ulidhani kuzaliwa kwako na baba na mama kunakupa uhalali usio na shaka wa kurithi mali walizonazo unakosea, lipo takwa la kisheria linalokuondolea haki hiyo, ingawa mwenye mali ni baba au...
Kiini ndoa kuvunjika mapema hiki hapa Wadau wa masuala ya saikolojia, wanasheria, wanazuoni na wanajamii wamebainisha sababu kadhaa zinazochangia ndoa kuvunjika mapema baada ya kufungwa, hususan mijini.
Mchengerwa, Makonda wanusa ubadhirifu Samia Girls, DED akalia kuti kavu Mkuu wa Mkoa wa Arusha, Paul Makonda ameibua tuhuma za ubadhirifu wa zaidi ya Sh1.3 bilioni zilizotumika katika utekelezaji wa mradi wa ujenzi wa Shule ya Sekondari ya Wasichana ya Samia iliyopo...
DSE na utoaji fursa za uwekezaji katika dhamana, kuweka mazingira mazuri ya uwekezaji na utoaji mitaji
PRIME 'Hospitali' ya Cradle yafikishwa kortini madai kifo cha pacha wa kupandikizwa Kituo cha Afya cha Cradle (Cradle Speciality Heath Centre), kilichopo Msasani, jijini Dar es Salaam kimeburuzwa mahakamani kikidaiwa fidia ya zaidi ya Sh3.6 bilioni kwa madai ya uzembe...
Kamisheni ya Ardhi yalalamikiwa ucheleweshaji wa hatimiliki Baadhi ya wananchi wameiomba Kamisheni ya Ardhi kubadilika kutokana na mzunguko mrefu uliopo kwa watu wanaotafuta hatimiliki za ardhi za kilimo.
Lukuvi: Maji yalituogopesha kufanya siasa Ubungo Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Bunge na Uratibu), William Lukuvi amesema ilifika mahali CCM waliogopa kwenda kufanya siasa Wilaya ya Ubungo, Dar es Salaam kutokana na kuwepo kwa kero...
Tanzania kuzindua alama ya asali kuvutia soko la kimataifa Tanzania ipo mbioni kuzindua alama ya asali zinazozalishwa nchini, ili kuitambulisha bidhaa hiyo muhimu katika soko la kimataifa.
Kane apukutisha rekodi kibao usiku wa Ulaya Straika Harry Kane ameweka rekodi tatu tamu kabisa kwenye Ligi ya Mabingwa Ulaya katika usiku ambao chama lake la Bayern Munich liliichapa Dinamo Zagreb mabao 9-2.
Mwanamuziki Teddy Kalanda afariki dunia Mwanamuziki wa Kenya Teddy Kalanda Harrison ambaye alipata umaarufu kupitia wimbo wa ‘Hakuna matata/Jambo bwana’ amefariki dunia akiwa na umri wa miaka 72.
FYATU MFYATUZI: Mrume kutoka kama manzi, unataka nini? Juzi si nilifyatuka nikataka kufyatua nisijue fyatu mwenyewe nuksi! Si katika kujimwambafy, mtaani kwetu, nikakutana na njemba amevaa hereni, suruali za kubana, na akijitembeza kinamna...
Wadau kutoa mapendekezo ya kisera afya ya utengamao Mchango wa huduma za utengamao ni kuimarisha mifumo ya afya