PRIME Hofu yatanda kwa watia nia CCM Kuchukua na kurudisha fomu ni jambo moja, lakini kupenya katika mchujo na kuwa kati ya watatu watakaopigiwa kura za maoni na wajumbe, ni jambo lingine.
TLP wamchagua Rwamugira kugombea urais 2025 TLP inaungana na vyama vingine 10 vilivyoteua wagombea wao wa urais mapema na kusubiria wagombea hao kusubiri uteuzi wa Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi (INEC).