Hello

Your subscription is almost coming to an end. Don’t miss out on the great content on Nation.Africa

Ready to continue your informative journey with us?

Hello

Your premium access has ended, but the best of Nation.Africa is still within reach. Renew now to unlock exclusive stories and in-depth features.

Reclaim your full access. Click below to renew.

  1. OSHA inavyochochea mapinduzi ya kidijitali katika usimamizi wa usalama na afya na kazini

    Katika miongo ya hivi karibu­ni, dunia imeshuhudia maende­leo makubwa ya teknolojia ya kidijitali yaliyogusa nyanja mbalimbali za maisha, ikiwemo sekta ya ajira.

  2. Kutoka kumsubiri mpaka kumfuata mteja – CRDB Bank Foundation inavyobadili huduma za benki nchini

    Ili kukamilisha suala hilo angetakiwa kusimamisha shughuli nyingine zote za siku hiyo ili aipate akaunti ya benki kwa ajili ya kutunza fedha zake na kufanikisha miamala mingine muhimu kwake...

  3. Hatuwezi kumaliza Malaria bila kuwa na msukumo thabiti

    Msukumo unahitajika kwani tuna kila sababu ya kuhakikisha tunatokomeza malaria Uimara wa uongozi haup­imwi katika nyakati njema, bali katika nyakati ambazo unatakiwa kukabiliana na changamoto...

  4. Miaka minne ya uongozi wa Rais Dk Samia: UDSM yatathmini mafanikio yake

    Ni kwa muktadha huu, Mkuu wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam, Mheshimiwa Dk Jakaya Mrisho Kikwete, Baraza la Chuo, Menejimenti na jumuiya nzima ya UDSM wanatoa pongezi za dhati kwa Dk Samia kwa...

  5. Tanzania yazindua kanuni ya uongezaji virutubishi kwenye chakula: Kila mzalishaji anatakiwa kuongeza virutubishi

    Sheria hii mpya inagusa wasindikaji wote wakubwa na wadogo wa bidhaa za unga wa mahindi, unga wa ngano, mafuta ya kula na chumvi, wote wanatakiwa kuongeza virutubishi (vitamin na madini) kwenye...

  6. Siku 100 za Yas: Ubunifu, tuzo na huduma bora kwa Watanzania

    Novemba 6, mwaka jana, Kam­puni ya Mawasiliano Yas (zamani Tigo) ilifanya mabadiliko makub­wa ya chapa zake. Kampuni hii ambayo ilianza kutoa huduma nchini Tanzania miongo mitatu iliyopita kwa...

  7. Mradi wa “Mlinde Mama” wachochea afya bora kwa wajawazito mkoani Geita

    Mwaka 2022, PHIT ilipokea ufadhili kutoka mfu­ko wa Bill and Melinda Gates Foun­dation (BMGF) ili kutekeleza mradi wa “Mlinde Mama” mkoani Geita.

  8. EU, washirika wake watembelea Mwanza kuboresha uhusiano na kuzindua Mpango wa Maendeleo ya Uwekezaji Mijini

    Ziara hiyo ya siku mbili jijini Mwanza imehusisha vikao kati wa ujumbe huo na uongozi wa mkoa, kutembelea miradi inayofadhiliwa na EU na kutekelezwa chini ya mpango wa nchi za Ulaya

  9. WCF na uboreshaji ustawi wa wafanyakazi Tanzania

    Katika miaka minne ya uongozi wa Rais Dk Samia, zipo hatua kubwa za kimaendeleo zimepigwa na Mfuko huo ambazo zinahi­taji kusherehekewa katika kipindi hiki.

  10. Weholite na ujenzi wa kesho mpya ya mifumo bora ya usimamizi wa maji

    Kuendesha na kudumisha mifu­mo ya usimamizi wa maji sala­ma hakuwezi kufanikiwa bila uwekezaji mpya na utaalamu wa kiufundi, hususan ukizingatia ongezeko la idadi ya watu katika maeneo ya mijini...

  11. SAS Logistics Ltd yaongoza njia katika umahiri wa sekta ya usafirishaji mizigo nchini

    Kila mtu anaweza kuwa msafirishaji wa bidhaa, lakini si kila msafirishaji atakufikishia mzigo ukiwa salama kama inavyotakiwa kama anavyofanya SAS Logistics Ltd.

  12. Safari ya mafanikio ya NHC na miaka minne ya mafanikio ya Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan

    Katika miaka ya mwanzo, NHC lilitekeleza miradi mbalimbali ya ujenzi wa nyumba za makazi na majengo ya umma, lakini changamoto za kiuchumi na kisheria zilianza kuathiri utendaji wake.

  13. Waterforce TZ na ndoto ya kuifanya Tanzania kuwa kinara uvumbuzi wa matibabu ya maji

    Dar es Salaam. Usimamizi wa maji taka ni muhimu ili kupunguza athari kubwa za mabadiliko ya tabianchi, hata hivyo, nchini Tanzania, sekta hiyo inakabiliwa na uwezo mdogo wa kitaasisi, uratibu...

  14. Benki ya CRDB katika nyayo za mafanikio ya Serikali ya Rais Samia

    Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya CRDB, Abdulmajid Nsekela anasema benki imeimarika katika maeneo tofauti kuanzia ukubwa wa mizania yake, mikopo inayotoa hata amana za wateja inazopokea jambo...

  15. Masoko ya Mitaji Tanzania yashamiri katika miaka minne ya uongozi mahiri wa Rais Samia

    Rais wa Jamhuri ya Muun­gano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan, ameweka alama kubwa ya mafanikio katika maendeleo na ustawi wa sekta ya maso­ko ya mitaji, katika kipindi cha miaka minne ya uongozi...

  16. Miaka minne ya uongozi imara: Jinsi Rais Samia alivyoleta mapinduzi ya usalama na afya kazini nchini

    Alipoingia madarakani Machi 2021, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk Samia Suluhu Hassan alikuja na maono thabiti kwa Tanza­nia ya kuhakikisha kila mwa­nanchi anafanya kazi katika...

  17. Yafahamu mafanikio ya TBA katika miaka minne ya Rais Dk Samia Suluhu Hassan

    Wakati ikiwa imetimia miaka minne ya uongozi wa Rais wa Tanzania Dk Samia Suluhu Hassan tayari maendeleo katika sekta mbalimbali nchini yame­onekana kwa kiasi kikubwa kama ilivyo azma yake ya...

  18. TALIRI na mafanikio lukuki ndani ya miaka minne ya Serikali ya awamu ya sita

    Tanzania kama ilivyo kwa nchi zingine za Kusini mwa Jangwa la Sahara ina idadi kubwa ya mifugo ya asili kuliko iliyoboreshwa. Hivyo, kaya zinazojishughulisha na ufugaji zinafuga mifugo ya asili.

  19. Miaka minne ya Rais Samia imefufua matumaini ya Watanzania katika upatikanaji wa haki na uendeshaji wa huduma za mashtaka ya jinai

    Tangu kuanzishwa kwa Ofisi ya Taifa ya Mashtaka tunashuhudia malalamiko ya vilio vya haki, msonga­mano wa mahabusu, uchele­washaji kesi na ubambikaji wa kesi sasa vyapata muaro­baini kwani mama...

  20. NSSF yajivunia kasi ya ufanisi na mafanikio katika sekta ya hifadhi ya jamii nchini

    Mfuko wa Taifa wa Hifadhi ya Jamii (NSSF) umeanika mafani­kio lukuki ya ufanisi kiutendaji ambayo yamepatikana katika kipindi cha miaka minne ya Uongozi wa Dkt. Samia Suluhu Hassan, Rais wa Awamu...