Waziri Biteko atoa neno mkataba GGML, Stamico wa Sh55.2 bilioni
Kampuni ya Geita Gold Mining Limited (GGML) na Shirika la Madini la Taifa (Stamico) zimeingia mkataba 55.2 bilioni huku Waziri wa Madini, Dk Deto Biteko akizitaka kampuni zingine za ndani...