Kero ya maji, umeme, afya kilio kikubwa ziara ya Chongolo
Kero za maji, umeme, miundombinu ya barabara na uhaba wa watumishi wa sekta ya afya zimeibuliwa na wananchi na viongozi katika ziara ya Katibu Mkuu wa Chama cha Mapinduzi (CCM), Daniel Chongolo...