Haya hapa matokeo ya kidato cha sita 2025

Baraza la Mitihani Tanzania (Necta) limetangaza matokeo ya mtihani wa kidato cha sita uliofanyika Mei 5 hadi 26, 2025.
Matokeo hayo yametangazwa leo Jumatatu, Julai 7, 2025 visiwani Zanzibar na Katibu Mtendaji wa Necta, Profesa Said Mohamed
Bonyeza hapa kutazama matokeo ya kidato cha sita 2025