‘Zanzibar iongeze vivutio vya utalii’ Wakati wageni 84,069 wakiingia Zanzibar Januari mwaka huu, wataalamu wa uchumi na takwimu, wameshauri kuongeza vivutio ili kuepusha watalii kuishia hotelini.
Wakulima wa mwani walalama kukosa mbegu bora Wakulima wa mwani kisiwani Unguja wameeleza ukosefu wa mbegu bora za uzalishaji zao hilo hivyo kurudisha nyuma jitihada zao.
Bidhaa hizi zapaisha mfumuko wa bei Zanzibar Unguja. Mfumko wa bei kwa Januari 2025 Zanzibar umeongezeka na kufikia asilimia 5.27 kutoka asilimia 4.9 iliyorekodiwa Desemba 2024, huku bidhaa za mchele na ndizi zikichangia kwa kiwango...
Bodi ya Mikopo Elimu ya Juu kukusanya Sh200 bilioni kwa wanufaika Wakati Bodi ya Mikopo ya Elimu ya Juu (HESLB) imetimiza miaka 20, imeendelea kuonyesha mafanikio katika sekta ya elimu ya juu nchini, ikikusanya fedha kwa kiwango kikubwa ili kusaidia wanafunzi...
Kombo awataka maofisa wa Polisi Zanzibar kujitafakari kukithiri uhalifu Kamishna wa Polisi Zanzibar, Kombo Khamis Kombo amewataka maofisa na wakaguzi wa Polisi kujitafakari kutokana na kuwepo kwa matukio ya uhalifu katika shehia wakati wao wapo huko.
Wafanyabiashara kutoka Italia, Zipa wajadli fursa za uwekezaji Wafanyabiashara na wawekezaji zaidi ya 33 kutoka Italia wamekutana na wenzao kutoka Zanzibar na Mamlaka ya Kukuza Uwekezaji Zanzibar (Zipa) kujadili maeneo ya uwekezaji ikiwemo nishati, kilimo na...
Mambo yanayomsubiri kamishna mpya ZRA Wakati Kamishna Mkuu wa Mamlaka ya Mapato Zanzibar (ZRA), Said Kiondo Athumani akikabidhiwa mikoba rasmi kuendesha taasisi hiyo, mambo kadhaa yanamsubiri ikiwamo kuzungumza na wafanyabiashara...
Miradi Zanzibar kutekelezwa kwa hati fungani ya misingi ya sharia Katika kubuni vyanzo vipya vya kutekeleza miradi ya maendeleo kisiwani Zanzibar, Serikali ya Mapinduzi Zanzibar (SMZ) imeanzisha Hati Fungani (Sukuk) inayofuata misingi ya sharia ambayo itatumia...
Wafanyabiashara 35 wa Saudi Arabia kuwekeza Zanzibar Amesema kipaumbele cha Serikali ni maeneo makuu mawili ikiwamo sekta ya utalii inayoingiza asilimia 30 ya pato la Zanzibar na sekta ya uchumi wa buluu.
Mbaroni akidaiwa kumchoma kisu mke mwenza Kwa mujibu wa Mchonvu, baada ya kushambuliwa mwanamke mdogo alipiga kelele na yule mwanaume akatoa msaada kisha kumpeleka majeruhi katika hospitali ya Lumumba na mtuhumiwa alipelekwa Kituo cha...