Idadi vifo Hanang yafikia 69 Vifo vilivyotokana na maporomoko ya tope kutoka Mlima Hanang mkoani Manyara, vimefikia 69 baada ya miili minne kupatikana.
Mbarawa awaagiza Latra kufanyia utafiti ongezeko la ajali Waziri wa Uchukuzi, Profesa Makame Mbarawa ameiagiza mamlaka ya Udhibiti Usafiri Ardhini (Latra) kufanya utafiti na kuwasilisha majibu ya utatuzi wa wingi wa ajali za barabarani nchini.
Serikali yataja chanzo maporomoko Hanang Msemaji Mkuu wa Serikali, Mobhare Matinyi aeleza mipango iliyopo ya kusaidia waathirika.
PRIME Mguu alioondokea Chongolo kukaribisha zama ngumu CCM Daniel Chongolo kujiuzulu ukatibu mkuu CCM, linaweza kuwa jambo lisilo na uzani mkubwa. Mguu ambao ameondokea, unaweza kuchora mstari wa ujio wa zama za tofauti kabisa.
Mwekezaji mwingine abisha hodi Bandari ya Dar Mchakato wa kumpata mwekezaji mwingine kwaajili ya uendelezaji Bandari ya Dar es Salaam, umekamilika, huku Serikali ikisema muda wowote atatangazwa na kukatakabidhiwa kazi.
PRIME Dk Chaote: Mwili wa Msuya ulikuwa na matundu 26 ya risasi-3 Agosti 7, 2023 Jiji la Arusha na miji ya Moshi na Mirerani, ilitikiswa na taarifa za kuuawa kwa kupigwa risasi mfanyabiashara maarufu wa madini, Erasto Msuya maarufu kwa jina la Bilionea Msuya...
Serikali yaeleza wingi wa viongozi maporomoko ya Hanang, maafa yasiyozuilika. Msemaji Mkuu wa Serikali ya Tanzania, Mobhare Matinyi amesema maafa yaliyotokea ya maporomoko ya matope, mawe na miti yaliosababisha vifo vya watu 69 ni tukio lisiloweza kutabiriwa kwa sababu...
Mwinyi ataka utafiti elimu ya juu uisaidie Serikali Rais wa Zanzibar, Dk Hussein Mwinyi amewataka wahadhiri na wanataaluma kufanya utafiti na kutoa ushauri wa kitaalamu kwa Serikali ili iweze kuzipatia ufumbuzi changamoto mbalimbali zilizopo. Dk...
Mbowe kuzuru Hanang kesho Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Freeman Mbowe anatarajiwa kuzuru mkoani Manyara kesho Desemba 7, 2023 kuwatembelea waathirika wa tukio la maporomoko ya tope lililotokea...
Wasichana waongoza ufaulu Ardhi Wasichana katika chuo kikuu cha Ardhi wameendelea kuibuka vinara kwa ufaulu dhidi wavulana ikiwa ni mwaka wa tatu mfululizo jambo lililotajwa kuleta matumaini katika usawa wa kijinsia katika...
Rayvanny afanya kweli MWANAMUZIKI, Rayvanny amekonga nyoyo za mashabiki juzi jioni wakati akizindua kampeni ya Vuna Deile inayofanyika kote nchini ikilenga kutoa zawadi mbalimbali kwa Watanzania kipindi hiki cha...
Rayvanny afanya kweli MWANAMUZIKI, Rayvanny amekonga nyoyo za mashabiki juzi jioni wakati akizindua kampeni ya Vuna Deile inayofanyika kote nchini ikilenga kutoa zawadi mbalimbali kwa Watanzania kipindi hiki cha...
Mwaifwani: Nani anapanga bei za vyakula safarini? Nilipokuwa mtoto nilifurahia kusafiri, leo nimekuwa mtu mzima, maisha yananilazimisha kusafiri. Niwapo safarini nayaona mengi, mojawapo ni bei za vyakula kwenye vituo ambavyo abiria wa mabasi ya...
Fahamu historia ya urembo vikuku Vikuku vinaweza kuwa vya shanga, ngozi au hata madini kama dhahabu, fedha na shaba zenye muundo kama wa bangili ambazo huvaliwa miguuni na jinsi ya kike. Kikuu kinaweza kuvaliwa mguu mmoja au...