Zungu afunguka zuio mikutano ya hadhara Spika wa Bunge la Tanzania, Mussa Zungu ameunga mkono uamuzi wa Serikali kusitisha utoaji vibali vya mikutano ya hadhara kwa vyama vya siasa, akisema ni hatua nzuri kutokana na kipindi kilichopo.