Namungo, Al Hilal hakuna mbabe MABINGWA wa Sudan, Al Hilal wamelazimisha sare ya bao 1-1 dhidi ya Namungo katika mchezo wake wa kwanza wa kirafiki hapa nchini uliopigwa kwenye Uwanja wa Azam Complex Chamazi.