Ni wito wa Waziri wa Fedha, Dk Philip Mpango, kwa watumishi wa wizara yake
Rais wa Tanzania, John Magufuli anatarajiwa kuzindua shamba la miti wilayani Chato mkoani Geita kesho Jumatano Januari 27, 2021.
Yazidu Mwakibe na Gerald Mapunda wakazi wa jijini Dar es Salaam wamefikishwa katika mahakama ya Wilaya ya Temeke wakikabiliwa na mashtaka matatu,...
Waziri Mkuu wa Tanzania, Kasim Majaliwa ataongoza mazishi ya aliyekuwa mbunge wa viti maalumu CCM wa Mkoa wa Manyara, Martha Umbulla...
Mtu mmoja ambaye hajatambuliwa jina lake amekamatwa nchini Austria akitorosha vinyonga 74 kutoka Tanzania.