Hatma ya Diddy kujulikana hivi karibuni Mahakama ya jijini Manhattan imeendelea na kesi ya Sean “Diddy” Combs ambapo kwa sasa inaelezwa kesi hiyo ipo ukingoni huku hatma ya rapa huyo kujulikana hivi karibuni.