Rais Samia awaapisha viongozi mbalimbali Ikulu akiwemo Makonda
Rais Samia Suluhu Hassan akimuapisha Paul Makonda (kulia) kuwa Mkuu wa Mkoa wa Arusha kwenye hafla iliyofanyika Ikulu jijini Dar es Salaam, leo Aprili 04, 2024. Picha na Ikulu
Photo: 1/12
Rais Samia Suluhu Hassan akimuapisha Deogratius Ndejembi kuwa Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu (Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu) kwenye hafla fupi iliyofanyika Ikulu jijini Dar es Salaam, leo Aprili 04, 2024. Picha na Ikulu
Photo: 2/12
Kanali Evans Mtambi akila kiapo kuwa Mkuu wa mkoa wa Mara alipokuwa akiapishwa na Rais Samia Suluhu Hassan kwenye hafla fupi iliyofanyika Ikulu jijini Dar es Salaam, Aprili 04, 2024. Picha na Ikulu
Photo: 3/12
Mhandisi Kundo Mathew akila kiapo kuwa Naibu Waziri wa Maji wakati akiapishwa na Rais Samia Suluhu Hassan kwenye hafla iliyofanyika Ikulu jijini Dar es Salaam, Aprili 04, 2024. Picha na Ikulu
Photo: 4/12
Maryprisca Mahundi akila kiapo kuwa Naibu Waziri wa Wizara ya Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari wakati akiapishwa na Rais Samia Suluhu Hassan kwenye hafla iliyofanyika Ikulu Jijini Dar es Salaam Aprili 04, 2024. Picha na Ikulu
Photo: 5/12
Jumanne Sagini akila kiapo kuwa Naibu Waziri wa Katiba na Sheria wakati akiapishwa na Rais Samia Suluhu Hassan kwenye hafla iliyofanyika Ikulu jijini Dar es Salaam, Aprili 04, 2024. Picha na Ikulu
Photo: 6/12
Rais Samia Suluhu Hassan akimuapisha Daniel Sillo (kulia) kuwa Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi kwenye hafla iliyofanyika Ikulu Jijini Dar es Salaam, Aprili 04, 2024. Picha na Ikulu
Photo: 7/12
Rais Samia Suluhu Hassan akimuapisha Zainab Katimba (kulia) kuwa Naibu Waziri, Ofisi ya Rais (Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa) kwenye hafla iliyofanyika Ikulu jijini Dar es Salaam, Aprili 04, 2024. Picha na Ikulu
Photo: 8/12
Dk Edwin Paul Mhede akila kiapo kuwa Naibu Katibu Mkuu, Wizara ya Mifugo na Uvuvi wakati akiapishwa na Rais Samia Suluhu Hassan kwenye hafla iliyofanyika Ikulu jijini Dar es Salaam, Aprili 04, 2024. Picha na Ikulu
Photo: 9/12
Dk Suleiman Hassan Serera akila kiapo kuwa Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Utamaduni, Sanaa na Michezo kwenye hafla iliyofanyika Ikulu Jijini Dar es Salaam Aprili 04, 2024. Picha na Ikulu
Photo: 10/12
Sylvester Kainda akiapa kuwa Jaji wa Mahakama Kuu wakati akiapishwa na Rais Samia Suluhu Hassan kwenye hafla iliyofanyika Ikulu Jijini Dar es Salaam, Aprili 04, 2024. Picha na Ikulu
Photo: 11/12
Rais Samia Suluhu Hassan akimuapisha Eva Nkya kuwa Msajili Mkuu wa Mahakama kwenye hafla iliyofanyika Ikulu Jijini Dar es Salaam Aprili 04, 2024. Picha na Ikulu