Haya hapa matokeo ya kidato cha nne 2024 Baraza la Mitihani Tanzania (Necta) limetangaza matokeo ya mtihani wa kidato cha nne uliofanyika kuanzia Novemba 11 hadi 29, 2024.
Wazee Japan walipia Sh400,000 ili wafungwe gerezani, sababu yatajwa Wakati baadhi ya watu nchini wakiogopa kufungwa gerezani hata kama wametenda makosa, hali ni tofauti nchini Japan ambako wazee wanalazimika kulipia fedha ili wafungwe gerezani.
PRIME Aliyemuua mwenzake wakigombea maji, ahukumiwa kunyongwa hadi kufa Mahakama Kuu Masijala Ndogo ya Shinyanga imemhukumu adhabu ya kunyongwa hadi kufa, Nkwabi Joseph, baada ya kumkuta na hatia ya kumuua mwanakijiji mwenzake, Tungu Sabuni.