1. Miaka 25 ya Britam Tanzania kuongoza kwa ubunifu, upatikanaji wa Bima

    Britam Insurance Tanzania katika kuadhimisha miaka 25, inaonekana kuwa kielelezo cha ubunifu katika utoaji wa huduma za bima.

  2. Protastructure kufungua ofisi Tanzania, haya ndiyo wahandisi wa ujenzi wanapaswa kuyafahamu

    Katika hatua muhimu ya kuboresha sekta ya uhandisi nchini, Prota Software, kampuni ya Uturuki ya kutengeneza programu tumishi za kompyuta, imetangaza kufungua ofisi zake jijini Dar es Salaam...

  3. Tanapa, Carbon Tanzania kushirikiana katika mradi mkubwa wa kaboni Afrika Mashariki

    Shirika la Hifadhi za Taifa za Tanzania (TANAPA) na Carbon Tanzania (CT) wamesaini Hati ya Makubaliano (MoU) ya kihistoria yenye lengo la kutekeleza mradi wa kaboni katika hifadhi sita za Taifa.

  4. CAPS Limited: Chaguo sahihi la huduma za vyoo vya kukodi, viuatilifu vya kuangamiza visumbufu

    Nyumba ni choo! Huu ni usemi ambao hutumika mara nyingi ukiangazia umuhimu wa choo bora na huduma za usafi nyumbani.

  5. Azam Pesa kuleta mapinduzi katika ujumuishaji, uhuru wa kifedha

    Ukuaji wa sekta ya fedha katika miaka kadhaa iliyopita kumesaidia ukuaji wa uchumi wa Taifa na mtu mmoja mmoja kwa maana ya idadi ya wanufaika wa mnyororo wa thamani wa sekta hiyo.

  6. TADB, Wizara ya Mifugo na Uvuvi kuleta mapinduzi ya uchumi wa buluu

    “Kikundi chetu cha Nguvu Kazi Group Mtandi kina wanachama kumi na tano (15) ni kikundi cha kijamii (Community Based Organization). Tumekua tukitumia mitumbwi ya kawaida ya mbao kwa muda mrefu.

  7. Wachumi walivyopendekeza maeneo muhimu kukuza uchumi

    Baadhi ya wachumi wamependekeza maeneo kadhaa kukuza uchumi wa Tanzania ambayo ni; kuendeleza rasilimali watu, kubadilisha muundo wa uzalishaji, kuirasimisha sekta isisyo rasmi, pamoja na...

  8. Azam Pay imeleta mapinduzi katika huduma za malipo za kidijitali

    Teknolojia ya huduma za kifedha kwa njia ya kielektroniki imesaidia kwa kiasi kikubwa kuendesha uchumi katika kufanikisha maendeleo kwa ujumla.

  9. Carbon Tanzania yakabidhi Sh 4.7 bilioni kwa serikali za mitaa, jamii

    Ili kuleta manufaa kwa wananchi wake na kuwawezesha kujikwamua kiuchumi Serikali imekuwa ikishirikiana na taasisi mbalimbali za ndani na nje ya nchi.

  10. Kuimarisha ukuaji endelevu na jumuishi kupitia mabadiliko ya kimuundo

    Mpango wa sasa wa Maendeleo wa Taifa wa Miaka Mitano - 2021/22-2025/26 -umeweka kipaumbele katika maendeleo ya viwanda na huduma katika kutekeleza malengo ya maendeleo ya Tanzania ya kufikia...

  11. VICHOCHEZI VYA UWEZO WA UZALISHAJI KWA AJILI YA UKUAJI WA VIWANDA NA BIASHARA NCHINI

    Tangu kuanza kwa milenia ya pili, uchumi wa Tanzania umekua kwa zaidi ya asilimia 6 na pato la mtu mmoja mmoja kwa zaidi ya asilimia 3.5 licha ya ongezeko la kasi ya idadi ya watu. Kwa hakika...

  12. Chuo Kikuu cha Dar es Salaam kufanya mahafali ya 53 kihistoria

    Kuna mahafali za vyuo vikuu vingine, halafu kuna mahafali ya Chuo Kikuu cha Dar es Salaam (UDSM). Kuanzia mwaka huu, UDSM inakwenda kuandika historia mpya ya ufanyaji mahafali kwa namna bora...

  13. Kufungua njia zenye mafanikio na endelevu katika sekta ya madini

    Kampuni ya dmg events, kwa kushirikiana na Ocean Business Partners (Tanzania) na Wizara ya Madini, wanayo furaha kutangaza kwamba Kongamano la Madini na Uwekezaji nchini 2023 litafanyika kuanzia...

  14. Je, Tanzania inapaswa kuwa na wasiwasi na nakisi ya bajeti yake?

    Kati ya 1999/00 na 2020/21, matumizi ya Serikali yaliongezeka kwa mara 26 huku mapato ya serikali yatokanayo na kodi na yasiyo ya kodi yakipanda mara 20, na kusababisha ongezeko la upungufu...

  15. Sportpesa ni chachu ya Ligi Kuu ya Tanzania Bara kupaa viwango Afrika

    Soka kama ingekuwa dini mpya, basi asilimia kubwa ya Watanzania wangebadili imani, kutokana na mapenzi mazito waliyonayo katika mchezo huu, licha ya kiwango cha mahaba yao na ubora wa kile...

  16. Miaka 40 ya huduma za maji, usafi binafsi na mazingira na maazimio mapya ya WaterAid Tanzania

    Ni miaka 40 ya kufanya kazi kwa bidii na kujitoa kwa taasisi ya WaterAid na inawakilisha maazimio mapya ya kuboresha huduma za maji, usafi binafsi na mazingira kuanzia ngazi za kitaifa hadi za...

  17. Nida inavyoibeba dhana ya ‘utambulisho kwa wote’ mabegani

    Kila ifikapo Septemba 16, dunia huadhimisha Siku ya Kimataifa ya Utambulisho. Siku hii ni maalumu kwa ajili ya kukuza uelewa kuhusiana na umuhimu wa kuwa na utambulisho wa rasmi kwa watu wote.

  18. CRDB: Hii ndiyo nguvu ya ‘buku’ katika vyombo vya moto na afya

    Wamiliki wa vyombo vya moto hususan bajaj na bodaboda wame-kuwa wakiishi kwa mashaka muda wote kutokana na ajali za mara kwa mara dhidi ya mali zao wakati huo huo wanashindwa kumudu gharama kubwa...

  19. Ubunifu, ubora wa bidhaa na utoaji huduma kwa wakati vinavyoipaisha GSM

    GSM Group ni miongoni mwa kampuni kubwa Tan­zania, Afrika Mashariki na Afrika kwa ujumla ambayo imekuwa ikigusa maisha ya mamia na maelfu ya watu kutokana na ubora wa bidhaa na huduma inazotoa.

  20. Mwaka mwingine wa mafanikio kwa Braeburn International School Arusha

    Nimefundisha kwa miaka mingi na nadhani bado nitaendelea kuwa na wasiwasi zaidi ya wanafunzi wa kizazi hiki walio nao hivi sasa katika kusubiria matokeo ya mitihani yao.