Makamu Mwenyekiti wa CCM (Tanzania Bara), Abdulrahman Kinana (mbele) akikagua eneo la Shule ya Msingi Muhoro katika Kijiji Cha Muhoro, leo Aprili 9, 2024, alipokwenda kuwapa pole Wakazi wa Wilaya ya Rufiji Mkoa wa Pwani waliokumbwa na mafuriko. Picha na CCM