Kishindo cha Makonda alivyotua Arusha na kukabidhiwa ofisi ya Mkuu wa Mkoa
Picha cha matukio mbalimbali ya Mkuu wa Mkoa wa Arusha, Paul Makonda baada ya kuwasili rasmi jijini Arusha leo Aprili 08, 2024 na kukabidhiwa ofisi na aliyekuwa Mkuu wa Mkoa huo, John Mongella ambaye kwa sasa ni Naibu Katibu Mkuu wa CCM.
Photo: 1/6
Photo: 2/6
Photo: 3/6
Photo: 4/6
Mkuu wa Mkoa wa Arusha, Paul Makonda (kulia) akikabidhiwa nyaraka na aliyekua mkuu wa mkoa huo, John Mongella wakati akikabidhiwa ofisi jijini Arusha leo, Aprili 08, 2024.
Photo: 5/6
Wananchi wakimsikiliza Mkuu wa Mkoa wa Arusha, Paul Makonda alipokuwa akizungumza nao baada ya kukabidhiwa ofisi, jijini Arusha leo.