Search

162 results for Fidelis Butahe :

  1. Vigogo wa mashirika walivyopukutishwa 2017

    Kwa nyakati tofauti, kuanzia Januari Mosi mwaka huu, vigogo wa taasisi, idara na wakala za Serikali ama wamesimamishwa kazi au kuondolewa katika nyadhifa zao kutokana na tuhuma kadhaa jambo...

  2. MAONI: NCCR-Mageuzi inavyojikokota nyuma ya kivuli cha Ukawa

    NCCR-Mageuzi ni chama chenye historia ya aina yake katika ulingo wa siasa nchini, pengine kuliko vyama vyote vya upinzani tangu kuanza kwa mfumo wa uchaguzi unaovihusisha vyama vingi vya siasa.

  3. Operesheni ya Chadema mikononi mwa polisi

    Mji wa Kahama mkoani Shinyanga jana ulisimama kwa saa kadhaa baada ya Jeshi la Polisi kutumia mabomu ya machozi kuwatawanya viongozi wa Chadema na wanachama wa chama hicho waliokuwa katika...

  4. Lipumba: Magufuli chanzo uhaba wa sukari

    Aliyekuwa Mwenyekiti wa CUF, Profesa Ibrahim Lipumba amesema Rais John Magufuli ndiye aliyesababisha sukari kuadimika, baada ya kuzuia vibali vya kuagiza bidhaa hiyo nje ya nchi.

  5. Dk Shein ateua wagombea urais watatu uwakilishi

    Rais wa Zanzibar, Dk Ali Mohamed Shein ametangaza kuwa hatamteua Makamu wa Kwanza wa Rais wa kuunda Serikali ya Umoja wa Kitaifa (SUK), huku akiwateuwa wajumbe saba wa Baraza la Wawakilishi...

  6. CUF: Hatumtambui Dk Shein

    Siku 15 baada ya uchaguzi wa marudio ufanyike Zanzibar, Chama cha Wananchi (CUF) kimeibuka na maazimio 13 kuhusu uchaguzi huo, likiwamo la kutomtambua Rais wa Zanzibar, Dk Ali Mohammed Shein na...

  7. JPM apingwa msimamo wake wa Zanzibar

    Siku moja baada ya Rais John Magufuli kusema hatoingilia mgogoro wa kisiasa Zanzibar kutokana na kuheshimu utawala wa sheria, vyama na watu wa kada mbalimbali wamepinga hatua hiyo ya Rais.

  8. Wabunge CCM: Tutaibana Serikali

    Wabunge wa CCM wamesema hawatakuwa na kigugumizi katika kuibana Serikali ili itekeleze ahadi zake kwa wananchi na tayari hali hiyo imejionyesha katika wiki ya kwanza ya Mkutano wa Pili wa Bunge...

  9. Ushirikiano wa Zitto, Mbowe waacha maswali

    Kuna siri gani? Ushirikiano wa mahasimu wa kisiasa wa upinzani; Zitto Kabwe wa ACT Wazalendo (Kigoma Mjini) kwa upande mmoja na Freeman Mbowe wa Chadema (Hai) na Ukawa kwa upande mwingine kupinga...

  10. Bunge: Hatutazuia Tv kurusha vikao‘laivu’

    Wakati Bunge likieleza kuwa haliwezi kuzuia vituo vya televisheni nchini kuonyesha moja kwa moja matangazo ya shughuli za vikao vya Bunge, Serikali imetoa sababu tatu za Shirika la Utangazaji...

Previous

Page 2 of 17

Next