Mke wa dereva aliyetekwa Zambia akaishia gerezani aeleza mkasa wote
Kuishi kwingi kuona mengi, ndivyo unavyoweza kusema juu ya mkasa uliompata dereva wa lori, Kennedy Mkonyi ambaye alitekwa Zambia Desemba 2020 na kuishia gerezani hadi hivi sasa akisubiri hatima ya...