Michango ya kampeni yawaliza wagombea CCM >Michango ya kampeni za kujinadi kwa wananchi katika majimbo mbalimbali nchini imelalamikiwa na baadhi ya wanachama wa CCM wanaowania kuteuliwa kugombea ubunge.
Wananchi wanasemaje kuhusu muungano? Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ilianzishwa Aprili 26 mwaka 1964, baada ya Tanganyika na Zanzibar (inayojumuisha Visiwa vya Pemba na Unguja) kuungana.