Kimbunga Hidaya chakata mawasiliano mikoa ya Kusini- Dar “Uharibu ni mkubwa hatuwezi kurekebisha kwa kipindi kifupi. Tumeshauri watu wasitishe safari au wazunguke Songea (mkoani Ruvuma) kama ni dharura ili wasije kuathirika. Ni vema watu wa Lindi...
Safari za baharini zarejea kimbunga Hidaya kikipoteza nguvu "Tulikuwa bado tunaangalia hali ikoje lakini kwa sasa tumeona imetulia na tumeruhusu safari ziendelee kama kawaida, kwa hiyo kuna boti inaenda Dar es Salaam na meli inaondoka kwenda Pemba," amesema.
PRIME Faida, hasara kwa wanandoa kuchunguzana Daktari bingwa wa uzazi na wanawake, Abdul Mkeyenge anasema kuna vitu vingi kwenye uhusiano ambavyo kama wanandoa wasipokuwa makini ni changamoto hata kwenye afya ya uzazi
MOI yathibitisha kifo cha 'Director' Khalfani Taasisi ya Mifupa na Mishipa ya Fahamu Muhimbili (MOI) imethibitisha kifo cha muongozaji wa video za muziki nchini Tanzania, maarufu ‘Director Khalfani Khalmandro’.
Madiwani CCM, maofisa ushirika wadakwa wakidaiwa kuuza tumbaku kwa kangomba Akihitimisha hoja ya makadirio ya mapato na matumizi ya Wizara ya Kilimo kwa mwaka 2024/25 jana usiku Ijumaa, Mei 3, 2024, Waziri wa Kilimo, Hussein Bashe amesema alimshukuru mkuu wa Mkoa wa...
Wafanyabiashara Coco Beach waeleza magumu ya kimbunga Hidaya Kwa kawaida wananchi wanaokwenda kupunga hewa ni miongoni mwa wateja wa wafanyabiashara mbalimbali zikiwamo za vyakula na vinywaji kwenye maeneo ya fukwe hizo.
Wafuga kuku wafundwa kufuga kisasa Mustafa Kahangwa, mkulima na mfugaji wa kuku wa mayai kutoka Bukoba Vijijini, amesema ana kuku zaidi ya 500, hivyo ameshiriki mafunzo hayo kupata uelewa wa kufuga kwa njia za kisasa.
Wasichana wapewa mbinu kumudu masomo ya sayansi Kikubwa kinachoangaliwa ni kubuni na kutengeneza mifumo inayotatua changamoto za jamii
Miaka 20 ya Poland ndani ya Umoja wa Ulaya Leo, Mei Mosi, Poland inaadhimisha miaka 20 tangu ilipojiunga na Umoja wa Ulaya (EU) mwaka 2004. Kipindi hicho, ilipokea kundi kubwa la nchi 10 za Ulaya Mashariki na Kati, ikiwemo Poland ambazo...
Uzalishaji korosho wapaa, sababu zatajwa Louis Kolumbia, Mwananchi [email protected] Dar es Salaam. Uzalishaji wa korosho umepanda kwa tani 115,900, kutoka 189,114 zilizozalishwa msimu wa 2022/23 hadi tani 305,014 katika...
Foden azoa tuzo akimpiku Rice wa Arsenal Phil Foden amechaguliwa kuwa Mchezaji Bora wa Mwaka wa England kwenye tuzo zinazotolewa na Chama cha Waandishi wa Habari za Soka nchini England.
MOI yathibitisha kifo cha 'Director' Khalfani Taasisi ya Mifupa na Mishipa ya Fahamu Muhimbili (MOI) imethibitisha kifo cha muongozaji wa video za muziki nchini Tanzania, maarufu ‘Director Khalfani Khalmandro’.
Uhuru wa habari ni wajibu wa kila mdau Leo ni Siku ya Uhuru wa Vyombo vya Habari Duniani, ambayo huadhimishwa Mei 3, kila mwaka. Katika siku hii, wadau wanapata nafasi ya kutafakari umuhimu wa tasnia ya habari katika kuchochea uhuru...
Mpenzi wako ana hasira? Fanya haya… Katika mahusiano ya aina yoyote, hakuna anayeweza kusema hajawahi kukasirika. Mara kwa mara tunakwazana na kukasirishana, ingawa wako wale ambao hasira yao iko karibu zaidi na huja kwa ukali...