Hatua kwa hatua 'Boni yai' na Malisa kizimbani Meya wa zamani wa Manispaa ya Ubungo, Boniface Jacob na mwenzake, wamefikishwa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu kujibu mashtaka matatu ya kuchapisha taarifa za uongo katika mtandao wa...
Abiria wa Mtwara – Dar sasa wazunguka barabara ya Songea Baada ya Mamlaka ya Udhibiti Usafiri Ardhini (Latra) kutoa vibali vya dharura kwa mabasi kupita njia ya Songea wakitokea Lindi na Mtwara, hali ni tete kwa Mkoa wa Lindi huku mkoa wa Mtwara...
Boeing 737-9 Max kuanza kutua Dodoma Kati ya Oktoba na Novemba Serikali itaanza kupeleka ndege kubwa ya abiria ya Boeing 737-9 Max Dodoma kwa kuwa wasafiri ni wengi
Mikakati ya Serikali kuipa nguvu ATCL Serikali imesema miongoni mwa miradi mikubwa ya maendeleo kwa mwaka wa fedha wa 2024/2025 itakayopewa kipaumbele, ni pamoja na ufufuaji wa Shirika la Ndege Tanzania (ATCL).
Serikali Kenya yasisitiza shule kutofunguliwa, mafuriko yakitikisa Hatua kali zitachukuliwa dhidi ya watakaobainika kukiuka mwongozo
Vyama 11 vyamvaa Lissu, mwenyewe ajibu Mwenyewe asema madai ya vyama hivyo hayana maana, kwani amekuwa akikosoa tawala zote kuanzia kwa Benjamin Mkapa, Jakaya Kikwete na John Magufuli lakini hawakuwahi kuhoji.
Putin kuapishwa mchana huu akifukuzia miaka 30 madarakani Kiongozi huyo anarejea katika kiti hicho wakati ambao vita kati ya Russia na Ukraine vilivyoanza Februari 24, 2022, vikifisha miaka miwili.
Wasichana wapewa mbinu kumudu masomo ya sayansi Kikubwa kinachoangaliwa ni kubuni na kutengeneza mifumo inayotatua changamoto za jamii
Miaka 20 ya Poland ndani ya Umoja wa Ulaya Leo, Mei Mosi, Poland inaadhimisha miaka 20 tangu ilipojiunga na Umoja wa Ulaya (EU) mwaka 2004. Kipindi hicho, ilipokea kundi kubwa la nchi 10 za Ulaya Mashariki na Kati, ikiwemo Poland ambazo...
Uzalishaji korosho wapaa, sababu zatajwa Louis Kolumbia, Mwananchi [email protected] Dar es Salaam. Uzalishaji wa korosho umepanda kwa tani 115,900, kutoka 189,114 zilizozalishwa msimu wa 2022/23 hadi tani 305,014 katika...
Ten Hag: Nataka kubaki United Kichapo cha juzi kimeifanya United kuweka rekodi ya kufungwa michezo mingi kwa msimu mmoja baada ya hadi sasa kupoteza 13, baada ya kuruhusu mabao 81 kwenye michuano yote ikiwa ni mara ya kwanza...
MOI yathibitisha kifo cha 'Director' Khalfani Taasisi ya Mifupa na Mishipa ya Fahamu Muhimbili (MOI) imethibitisha kifo cha muongozaji wa video za muziki nchini Tanzania, maarufu ‘Director Khalfani Khalmandro’.
Uhuru wa habari ni wajibu wa kila mdau Leo ni Siku ya Uhuru wa Vyombo vya Habari Duniani, ambayo huadhimishwa Mei 3, kila mwaka. Katika siku hii, wadau wanapata nafasi ya kutafakari umuhimu wa tasnia ya habari katika kuchochea uhuru...
Mpenzi wako ana hasira? Fanya haya… Katika mahusiano ya aina yoyote, hakuna anayeweza kusema hajawahi kukasirika. Mara kwa mara tunakwazana na kukasirishana, ingawa wako wale ambao hasira yao iko karibu zaidi na huja kwa ukali...