VIDEO: Nape Nnauye amuomba msamaha Rais Magufuli

Mbunge wa Mtama (CCM), Nape Nnauye

Muktasari:

Mbunge wa Mtama (CCM), Nape Nnauye leo Jumanne Septemba 10, 2019 amemuomba msamaha Rais John Magufuli Ikulu jijini Dar es Salaam kwa kile alichoeleza kuwa siku za hivi karibuni yametokea mambo mengi.