Daniel Mjema

Mwandishi mwandamizi wa kampuni ya Mwananchi Communications Ltd (MCL) na mkuu wa Habari wa MCL mkoa wa Kilimanjaro.

Connect with Daniel Mjema:

Mwandishi mwandamizi wa kampuni ya Mwananchi Communications Ltd (MCL) na mkuu wa Habari wa MCL Mkoa wa Kilimanjaro.

Ana uzoefu wa zaidi ya miaka 25 katika fani ya uandishi wa habari na amebobea katika uandishi wa habari za uchunguzi, kuripoti kesi, habari za haki za binadamu na habari maalum.

Alijiunga na MCL Aprili mwaka 2001 na amewahi kutunukiwa tuzo ya kuwa mwandishi bora wa uandishi wa habari za uhifadhi (2014 Tanapa Media Awards) inayotolewa na Shirika la Hifadhi za Taifa Tanzania (Tanapa) na mwaka 2010 alipewa heshima kutambuliwa na Tanzania Coffee Research Institute (TaCRI) ya kuwa mwandishi mwenye mchango mkubwa katika maendeleo ya sekta ya kahawa nchini Tanzania.