Fortune Francis

New Content Item (1)

Fortune Francis ni Mwandishi wa gazeti la Mwananchi linalochapishwa na kampuni ya Mwananchi Communications Ltd (MCL) inayochapisha pia magazeti ya The Citizen na Mwanaspoti

Fortune Francis ni Mwandishi wa gazeti la Mwananchi linalochapishwa na kampuni ya Mwananchi Communications Ltd (MCL) inayochapisha pia magazeti ya The Citizen na Mwanaspoti

Anaandikia kutoka Mkoa wa Dar es Salaam na amejikita katika kuandika habari za  Mahakamani, kijamii na kisiasa.

Ana Stashahada ya Uandishi wa Habari kutoka Chuo cha Dar es Salaam School of  Journalism (DSJ).