DK Mwinyi afanya mabadiliko ya Baraza la Mawaziri

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi , Dk Hussein Ali Mwinyi

Muktasari:

  • Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi , Dk Hussein Ali Mwinyi leo Machi 8, 2022 amefanya mabadiliko katika Baraza la Mapinduzi kwa kuigawa iliyokuwa Wizara ya Afya, Ustawi wa Jamii, Wazee, Jinsia na Watoto kuwa Wizara mbili na kuwabadilisha Wizara baadhi ya Mawaziri.

Zanzibar. Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi , Dk Hussein Ali Mwinyi leo Machi 8, 2022 amefanya mabadiliko katika Baraza la Mapinduzi kwa kuigawa iliyokuwa Wizara ya Afya, Ustawi wa Jamii, Wazee, Jinsia na Watoto kuwa Wizara mbili na kuwabadilisha Wizara baadhi ya Mawaziri.

Aidha pia amewateua Mawaziri wapya wanne na Naibu Mawaziri wapya saba

Kufuatia mabadiliko hayo, Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar hivi sasa itakuwa na Mawaziri na Naibu Mawaziri kama ifuatavyo: