#LIVE: Uwasilishwaji wa Bajeti Kuu ya Serikali kwa mwaka wa fedha 2023/2024
Muktasari:
Waziri wa Fedha na Mipango, Dk Mwigulu Nchemba leo Alhamisi anawasilisha Bajeti Kuu ya Serikali kwa mwaka wa fedha 2023/2024 bungeni jijini Dodoma