Jengua afariki dunia

Tuesday December 15 2020
mzeepic

Muigizaji wa filamu Tanzania,   mzee Jengua amefariki dunia leo Jumanne Desemba 15, 2020  Mkuranga mkoani Pwani.

Taarifa iliyotolewa na katibu wa chama cha waigizaji Mkoa wa Dar es Salaam, Doricy Kente inaeleza kuwa mke wa msanii huyo amethibitisha kifo hicho.

Endelea kufuatilia Mwananchi Digital kwa taarifa zaidi

Advertisement