Hello

Your subscription is almost coming to an end. Don’t miss out on the great content on Nation.Africa

Ready to continue your informative journey with us?

Hello

Your premium access has ended, but the best of Nation.Africa is still within reach. Renew now to unlock exclusive stories and in-depth features.

Reclaim your full access. Click below to renew.

Mama na mwanaye wakutwa wamekufa gesti

Mama na mwanaye wakutwa wamekufa gesti

Muktasari:

  • Irene Lyimo(21) mkazi wa  kata ya Kilema  Kaskazini Wilaya ya Moshi mkoani Kilimanjaro na mwanaye wa mwaka mmoja wamekutwa wamekufa katika nyumba ya kulala wageni, kaimu kamanda wa Polisi Mkoa wa Kilimanjaro, Ronald Makona amethibitisha.

Irene Lyimo (21) mkazi wa  kata ya Kilema  Kaskazini Wilaya ya Moshi mkoani Kilimanjaro na mwanaye wa mwaka mmoja wamekutwa wamekufa katika nyumba ya kulala wageni, kaimu kamanda wa Polisi Mkoa wa Kilimanjaro, Ronald Makona amethibitisha.

Endelea kufuatilia Mwananchi kwa taarifa zaidi