Mapadri 25, watawa 60 wafariki dunia ndani ya siku 60

Muktasari:
- Katibu wa Baraza la Maaskofu Katoliki Tanzania (TEC), Padri Charles Kitima amesema kuanzia Desemba 2020 hadi Februari 2021 mapadri zaidi ya 25, watawa zaidi ya 60 na wenyeviti wawili wa Baraza la Walei wamefariki dunia kwa sababu mbalimbali ikiwemo changamoto ya upumuaji.
Dar es Salaam. Katibu wa Baraza la Maaskofu Katoliki Tanzania (TEC), Padri Charles Kitima amesema kuanzia Desemba 2020 hadi Februari 2021 mapadri zaidi ya 25, watawa zaidi ya 60 na wenyeviti wawili wa Baraza la Walei wamefariki dunia kwa sababu mbalimbali ikiwemo changamoto ya upumuaji.
Endelea kufuatilia Mwananchi Digital kwa taarifa zaidi