Hello

Your subscription is almost coming to an end. Don’t miss out on the great content on Nation.Africa

Ready to continue your informative journey with us?

Hello

Your premium access has ended, but the best of Nation.Africa is still within reach. Renew now to unlock exclusive stories and in-depth features.

Reclaim your full access. Click below to renew.

Waziri Mkuu azungumza na mabalozi wanaoiwakilisha Tanzania nje ya nchi

Dodoma. Waziri Mkuu Kassim Majaliwa leo amekutana na mabalozi wa Tanzania wanaoenda kuiwakilisha Tanzania katika nchi mbalimbali.

Nia ya kukutana nao ni kujadili na  kuhakikisha wanaimarisha uhusiano na kujenga urafiki kwenye nchi wanazowakilisha kwa lengo la kuitangaza Tanzania kiuchumi.

Waziri Mkuu aliwaaga mabalozi hao huku akiwataka kuwakutanisha watanzania waishio nje ya nchi kukutana na kufanya mikutano mara kwa mara.

Mabalozi hao ni wa nchi za Qatar, Ubelgiji, Afrika Kusini, Ujerumani,Comoro, Algeria, India na Sudan.