Janeth Jovin

Mwandishi wa gazeti la Mwananchi linalochapishwa na kampuni ya Mwananchi Communication Ltd (MCL) inayochapisha pia magazeti ya The Citizen na Mwanaspoti

Janeth Jovin ni Mwandishi wa gazeti la Mwananchi linalochapishwa na kampuni ya Mwananchi Communication Ltd (MCL) inayochapisha pia magazeti ya The Citizen na Mwanaspoti

Anaandikia kutoka Mkoa wa Dar es Salaam na amejikita katika kuandika habari za afya, kiuchumi na kisiasa.

Ana Stashahada ya Uandishi wa Habari

Kabla ya kujiunga na MCL alifanya kazi gazeti la TanzaniaDaima.