Joyce Joliga

Mwandishi wa habari katika magazeti ya Mwananchi na The Citizen. Amejikita zaidi kuripoti habari za afya, uchunguzi na kilimo. Ana stashahada ya uandishi wa habari.

Connect with Joyce Joliga:

Mwandishi wa habari wa Kampuni ya Mwananchi Communications Limited (MCL). Amejikita zaidi kuripoti kuripoti habari za afya, uchunguzi na kilimo. Anaripoti kutoka Mkoa wa Ruvuma Kusini mwa Tanzania. Ana stashahada ya uandishi wa habari.

Email- [email protected]

Twitter- Joyce Joliga @ JoligaJoyce