Jinsi ya Kujisajili Betway: Muongozo wa Kina wa Usajili

Jifunze jinsi ya kujisajili Betway Tanzania kupitia muongozo huu wa kina. Kupitia muongozo huu, utaweza kujiunga na Betway Tanzania na kuwania bonasi nono ya wateja wapya. Pia, muongozo huu wa usajili wa Betway utakuonesha matumizi ya akaunti yako mpya ya Betway, ikiwemo kupata bonasi yako ya ukaribisho na kuweka pesa kwa mara ya kwanza.

Usajili wa Betway

Mtandaoni

Muda wa Usajili

Dakika 3 hadi 5

Mahitaji ya Usajili wa Betway

Namba ya simu iliyosajiliwa Tanzania

Neno la siri

Jisajili Betway

TEMBELEA BETWAY

Usajili wa Betway Unafanyaje Kazi?

Mchakato wa jinsi ya kujisajili Betway ni mrahisi na waharaka. Mteja anaweza kujisajili Betway kupitia njia tatu (3) tofauti, zikiwemo:

 • Tovuti rasmi ya Betway
 • Kutumia ujumbe mfupi wa meseji (SMS)
 • Programu ya rununu (app)

Jinsi ya Kujisajili Betway Tanzania: kupitia tovuti

Fuata hatua hizi kuweza kukamilisha usajili wako kwa kupitia tovuti ya Betway Tanzania;


 1. Temeblea tovuti rasmi ya Betway Tanzania kisha bofya kitufe cha kijani kisemacho “Jisajili” upande wa juu kabisa wa ukurusa wa utambulisho.
 2. Kwenye fomu ya kujisajili, andika namba yako ya simu iliyosajiliwa Tanzania kwa jina lako na unayotumia kwa sasa. Kisha andika neno la siri unalotaka kutumia, chagua lugha (Kiingereza au Kiswahili) na kama unakodi yoyote ya bonasi nayo iandike kwenye kisanduku chake.
 3. Tiki kisanduku cha kwanza kilichopo chini ya boksi la kodi ya bonasi ili kukubali vigezo na masharti ya Betway. Pia, tiki kisanduku cha pili kama ishara ya kukubali kwamba utapokea bet za bure (free bets) na ofa nyingine maalum za Betway. Kisha bofya kitufe cha kijani cha “Jisajili” kilichopo chini kabisa kwenye fomu hio.

Baada ya hapo, usajili wako utakamilika na utaweza kutumia akaunti na kuweka pesa ya kubeti.

Lakini kabla ya kuanza kubeti, unabidi kudhibitisha akaunti yako na nyaraka za utambulisho ambazo timu ya huduma kwa wateja ya Betway itakuomba. Kufanya hivi mapema kutakusaidia wakati wa kutoa pesa kwenye akaunti yako kwa mara ya kwanza baada ya kushinda beti.


 


Jinsi ya Kujisajili Betway Tanzania: Kupitia Ujumbe Mfupi wa Meseji (SMS)

Fuata hatua hizi kukamilisha mchakato wa jinsi ya kujisajili Betway kutumia ujumbe mfupi wa meseji (SMS):

 1. Kutumia simu yako ya mkononi yenye namba iliyosajiliwa Tanzania, tuma ujumbe mfupi usemao “Accept” kwenye namba “6446” kisa subiri.
 2. Baada ya muda mfupi, utapata ujumbe mfupi wenye namba yako ya akaunti pamoja na neno la siri utakaloweza kutumia kwenye tovuti ya Betway Tanzania.
 3. Tumia namba hio ya akaunti na neno la siri kuingia kwenye akaunti yako kwenye tovuti ya Betway Tanzania. Kisha badili neno la siri kuweka unalotaka wewe.
 4. Baada ya hapo unaweza kuendelea kutumia akaunti yako ya Betway na kuweka pesa kwenye akaunti. Muda huu pia unaweza kuanza mchakato wa kuthibitisha akaunti yako kutumia nyaraka za utambulisho ambazo timu ya huduma kwa wateja ya Betway itakuomba. Ukamilishaji wa mchakato huu utasaidia na urahisi wa kutoa pesa kwa mara ya kwanza kwenye akaunti yako baada ya kushinda beti.

Jinsi ya Kujisajili Betway Tanzania: Kupitia Programu ya Rununu (App)

Kujisajili kupitia programu ya rununu ya Betway ufuatisha mchakato ule ule kama wa tovuti ya Betway Tanzania. Wateja wa Betway Tanzania wanaweza kupakua programu ya rununu kwenye tovuti ya Betway kwenye simu zao janja.

Kisha, wanaweza kutumia programu ya rununu hio kukamilisha usajili wao. Betway Tanzania ina programu ya rununu zinazoweza kufanya kazi na vifaa vya iOS pamoja na Android. Unaweza kupata programu hizi za rununu kwenye tovuti ya Betway. Kwa sasa, programu hizi rununu hazipatikani Google Playstore au Apple Playstore.


Bonasi ya Betway ya Ukaribisho

Betway Tanzania hutoa bonasi nono ya ukaribisho kwa wateja wote wapya waliojisajili na kuweka akiba ya Tsh 3,000 au zaidi kwenye akaunti. Mteja atapata bonasi ya 100% hadi Tsh 100,000 ya michezo. Wateja pia watapokea rukia za bure za ndege, Vigezo na masharti kuzingatiwa, 18+.Vigezo na Masharti ya Usajili wa Betway

Usajili wa Betway Tanzania huja na vigezo na masharti yake ambazo wateja wapya wantakiwa kufuata.

🔞 Umri wa 18+

Wateja wote wa Betway Tanzania lazima wawe na miaka 18 au zaidi kukidhi mahitaji na vigezo vya kujisajili betway. Kama ilivyoorodheshwa kwenye sheria za michezo ya bahati nasibu Tanzania, wateja wanaojisajili kwenye tovuti za kubeti lazima wawe na umri wa miaka 18 au zaidi.

🇹🇿 Uraia

Raia wa Tanzania au mkazi wa kudumu wa Tanzania pekee ndio wanaoruhusiwa kufungua akaunti ya Betway.

📱 Namba ya Simu ya Tanzania

Kukamilisha usajili wa Betway na kuweza kutumia akaunti, mteja lazima atumie namba ya simu iliyosajiliwa Tanzania kwa majina yake na ambayo ipo hewani.

⭐ Akaunti Moja

Mteja wa Betway anaruhusiwa kufungua na kutumia akaunti moja tu ya Betway. Mteja atakaye kiuka masharti haya atafungiwa akaunti na kudhibitiwa kutumia huduma za Betway tena.

✅ Uthibitisho

Baada ya kujisajili na kufungua akaunti ya Betway, mteja atapaswa kuthibitisha maelezo yake kutumia nyaraka za utambulisho. Mchakato huu usaidia wachezaji kutoa pesa zao kiurahisi pale wanaposhinda beti au michezo ya kasino.

Jinsi ya Kuweka Akiba ya Kwanza Kwenye Akaunti ya Betway

Baada ya kujifunza jinsi ya kujisajili Betway, mchakato unaofuata ni kujua jinsi ya kuweka pesa kwenye akaunti. Fuata hatua hizi kujua jinsi ya kuweka akiba ya kwanza kwenye akaunti:

 1. Ingia kwenye akaunti yako ya Betway kupitia tovuti ya Betway(www.betway.co.tz) au programu ya rununu uliyo pakua kwenye simu yako
 2. Ukishaingia kwenye akaunti, bofya kitufe cha kijani kisemacho “Weka Pesa” kilichopo juu kabisa kwenye ukurasa wa akaunti yako.
 3. Utapelekwa kwenye ukurasa wakuweka pesa amabapo utapewa chaguo la njia tofauti za malipo. Unaweza kuchagua kati ya njia hizi:
  • Vodacom M Pesa
  • Tigo Pesa
  • Airtel Money
  • Halo Pesa
  • Wakala kutumia Selcom Huduma
 4. Chagua njia ya malipo unayoitaka, weka kiasi unachotaka kuweka kwenye akiba, kisha fuata maelekezo ya kukamilisha mchakato kwenye ukurasa huo kupitia njia uliochagua.

Vitu Gani Naweza Kubadilisha Kwenye Akaunti Yangu Baada ya Usajili?

Baada ya kukamilisha mchakato wa jinsi ya kujisajili Betway Tanzania, unaweza kubadili taarifa nyingi kwenye akaunti yako. Baada ya kuingia kwenye akaunit, unaweza kubadili kikomo cha kiasia unachoweza kuweka kwenye akiba, unaweza badili michezo ya kubeti, na pia, unaweza badili taarifa ndogo, kama neno lako la siri la kuingia kwenye akaunti.

Nini Kinafuata Baada ya Kukamilisha Usajili Betway?

Baada ya kukamilisha usajili wa akaunti yako Betway, unatakiwa kuthibitisha maelezo yako kwa kutuma nyaraka za utambulisho kwa timu ya huduma kwa wateja Betway. Baada ya kukamilisha mchakato huo, weka akiba ya kwanza kwenye akaunti yako ili kupata bonasi yako ya ukaribisho. Kisha, unaweza kuanza kubeti.

Jinsi ya Kuingia Kwenye Akaunti ya Betway

Baada ya kukamilisha mchakatao wa jinsi ya kujisajili Betway, wateja wanaweza kuingia kwenye akaunti zao mpya. Kuingia kwenye akaunti ya Betway kutumia tovuti au programu ya rununu fuata hatua hizi rahisi:

 1. Temeblea tovuti ya Betway Tanzania au ingia kwenye programu ya rununu ya Betway kwenye simu yako
 2. Kwenye ukurasa wa utambulisho wa tovuti au programu ya rununu, utaona visanduku vya kuandika namba ya simu uliyojisajilia na neno la siri pembeni ya kitufe cha Ingia.
 3. Andika namba yako ya simu na neno la siri halafu bofya kitufe cha cheupe chenye maneno ya kijano kinachosema “Ingia

Maswali Yanayouulizwa Mara kwa Mara

❓ Je, Ni Salama Kujisajili Betway?

Betway ni mtandao salama sana wa kubeti hivyo, wateja wapya wanaweza kujisajili bila shida yoyote. Betway inafanya kazi Tanzania kwa kufuata sheria zote. Betway imesajiliwa na kupewa leseni na bodi ya michezo ya Tanzania iliyo chini ya Wizara ya Fedha na Mipango.

❓Je, Mchakato wa Uthibitisho wa Akaunti Betway Unachukua Muda Gani?

Mteja akitoa taarifa za kweli na sahihi, mchakato wa uthibitsho wa akaunti Betway huchukua muda mfupi sana. Mchakato wa uthibitisho unahitaji majina kamili, tarehe ya kuzaliwa na namba ya simu ya mteja mpya. Pia, mteja hupaswa kuwakilisha nyaraka za utambulisho kama pasipoti au leseni, bili inayothibitisha makazi, na taarifa za benki zisizopungua miezi 6.

Je Kuna Bonasi Yoyote Kwa Wateja Baada ya Kukamilisha Usajili wa Betway?

Ndio, Betway Tanzania uzawadia bonasi ya ukaribisho wateja wote wanaokamilisha mchakato wa jinsi ya kujisajili Betwayi na kuweka akiba kwa mara ya kwanza.Bonasi ya ukaribisho hutoa 100% ya bonasi ya hadi Tsh 100,000 pamoja na rukia bure za ndege baada ya kuweka akiba yako ya kwanza.