Wawekezaji sasa kufurahia michezo yote ya kasino mtandaoni kupitia Helabet
Kampuni ya Helabet Tanzania imeleta magaeuzi makubwa kwa kuhakikisha michezo ya kasino mtandaoni inapatikana kwa wawekezaji wote waliosajiliwa nchini. Huduma hizi zinajumuisha aina nne kuu za michezo ambazo ni slot, poker, live dealer, pamoja na michezo mingine ya burudani. Kila kundi lina michezo mingi kutoka kwa zaidi ya kampuni 90 zinazotambulika kimataifa. Mwekezaji anahitaji kutumia akaunti yake ileile ya Helabet kuingia na kucheza michezo yote kupitia kompyuta au programu ya Helabet ya Android.
Slot: Michezo inayoakisi mandhari ya bara la Afrika na inayopendwa zaidi duniani
Slot ya Helabet https://helabet.co.tz/sw/slots ina karibu michezo 1,000 iliyopangwa katika makundi mbalimbali kama Popular, New, Drops & Wins, Megaways, na Jackpot. Baadhi ya michezo hiyo imebuniwa kwa kuakisi mandhari ya Afrika Mashariki na Tanzania. Kwa mfano, Wild Herd inaonyesha pundamilia na nyumbu wanaopatikana mbugani, Serengeti Sunrise imehusishwa moja kwa moja na Hifadhi ya Taifa ya Serengeti, huku Savanna King XL ikiwa na simba na twiga katika mazingira ya savana.
Mbali na hiyo, pia kuna michezo inayojulikana duniani kama Gates of Olympus 1000, Sweet Bonanza 1000, na Buffalo Wild Ways x20000.
Furahia mashindano huru na fedha taslimu kupitia Poker
Kwa wapenzi wa poker kupitia https://helabet.co.tz/sw/poker Helabet inayo michezo ya aina tatu ambayo ni Cash Games, Tournaments, na Spins. Katika Cash Games, dau linaanzia Dola za Marekani 0.02 pekee. Kwenye Tournaments yanajumuisha yale ya kuingia bila malipo kama Friday Freeroll Flight, pamoja na mashindano yanayotozwa ada ndogo kuanzia Dola za Marekani 0.55. Kwa upande wa Spins, wachezaji watatu hushindana katika mchezo wa haraka unaoanzia na dau la Dola 1 ya Marekani, huku zawadi zikifikia hadi Dola za Marekani 50,000.
Michezo ya Live dealer
Helabet pia inachezesha michezo ya Live Dealer, ambapo mwekezaji huona mchezo ukiendeshwa mubashara na msimamizi. Hapa kuna michezo kama Blackjack, Roulette, michezo mbalimbali ya kadi pamoja na michezo ya burudani kama Gravity Wheel, Live Dealer Blackjack, Andar Bahar, na Monopoly Roulette.
Michezo ya Haraka kwa Burudani Zaidi
Kwa wachezaji wanaopenda michezo inayomalizika kwa muda mfupi, Helabet imeweka michezo kama Crash, Gems & Mines, Plinko, pamoja na Scratch Cards.
Michezo hii huchukua sekunde chache au dakika chache pekee kabla ya kuanza mzunguko mwingine, jambo linaloifanya iwe rahisi kucheza kupitia programu ya Helabet ya Android ukiwa mahali popote.
Kwa huduma hii mpya, Helabet sasa inawawezesha wachezaji wa Tanzania kupata michezo ya slot, poker, live dealer, michezo ya haraka, pamoja na ubashiri wa michezo, yote kupitia akaunti moja tu.