Peter Elias

Peter Elias ni mwandishi wa gazeti la Mwananchi mwenye shahada ya Sayansi ya Siasa na Utawala wa Umma (BA.PSPA) aliyoipata katika Chuo Kikuu cha Dodoma (Udom). Amepata pia mafunzo ya uandishi wa habari katika program maalumu inayotolewa na kampuni ya Nation Media Group ya nchini Kenya.

Peter anapendelea kuandika habari za siasa na diplomasia na pia anafanya uchambuzi wa mambo mbalimbali ambayo yanalenga kuijenga jamii kwa kuleta matokeo chanya. Ni muumini wa uandishi unaoibadilisha jamii kimaendeleo au kifikra kwa lengo la kuwaunganisha wananchi.

Connect with Peter Elias: