Mkuu wa Mkoa wa Mbeya, Juma Homera (Kushoto) akipokea vifaa tiba ikiwepo mashine za Oxygen kwa ajili ya watoto njiti kutoka Mkurugenzi wa Taasisi ya Doris Mollel foundation, (kulia) Doris Mollel Jumatano Februari 22, 2023 katika hosptali ya Rufaa ya Mkoa wa Mbeya . Picha na Hawa Mathias