Watu wanne akiwemo askari wa Jeshi la Ulinzi wa Wananchi wa Tanzania (JWTZ) na Jeshi la Magereza wanaotuhumiwa kumbaka kwa kikundi na kumlawiti binti mkazi wa Yombo Dovya, jijini Dar es Salaam wamefikishwa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Dodoma na kusomewa mashtaka mawili. Picha na Hamis Mniha