Picha Askari Polisi wafanya doria katika maeneo mbalimbali jijini Dar es Salaam Jumamosi, Septemba 21, 2024 Askari Polisi wafanya doria katika maeneo mbalimbali jijini Dar es Salaam,huku chadema wakitangaza adhima yao ya kufanya maandamano ya amani. Picha na Michael Matemanga Photo: 1/3 View caption Photo: 2/3 View caption Photo: 3/3 View caption Login to join the discussion Please enable JavaScript to view the comments powered by Disqus.
Polisi yakana kumshikilia Heche, Chadema wamsaka Kulingana na Golugwa wakati anakamatwa maeneo ya Mkunguni, alipakizwa kwenye gari lakini walipokaribia maeneo ya Polisi Central walimbadilisha na kumpandisha kwenye gari lingine.
Alipwa mapunjo ya nauli ya Sh500,000 aliyosotea kwa miaka 31 Askari mstaafu wa Jeshi la magereza, Christina Mjema (90) amepatiwa malipo yake ya nauli ya mizigo Sh500,000 ya kutoka gereza la Babati mkoani Manyara hadi nyumbani kwao Wilaya ya Same mkoani...
VIDEO: Heche adakwa na Polisi Kariakoo, apelekwa Central Heche alichukuliwa na wafuasi wa Chadema na kuelekea naye Kituo cha Polisi Msimbazi alikokaa kwa muda mfupi kabla ya kuchukuliwa gari la Jeshi la Polisi na kupelekwa Kituo Kikuu cha Polisi akiwa...