Mrajisi wa Vyama vya Ushirika (TCDC) Dk Benson Ndiege (kushoto) akisaini Hati ya Makubaliano pamoja na Mkuu wa Chuo cha Elimu ya Biashara (CBE) Profesa Edda Lwoga (kulia) jijini Dodoma yenye lengo la kukwamua upatikanaji wa ajira kwa vijana Novemba 20, 2024. Picha na Hamis Mniha