Chadema walivyotinga kwa Msajili kujadili ‘No reform, No election’
Katibu Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), John Mnyika wakati akiwasili katika ofisi ya Msajili wa Vyama vya Siasa leo Jumanne Machi 18, 2025 jijini Dar es Salaam. Picha na Michael Matemanga
Photo: 1/4
Viongozi wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) wakiongozwa na Katibu Mkuu, John Mnyika wakiwasili katika ofisi ya Msajili wa Vyama vya Siasa leo Jumanne Machi 18, 2025 Jijini Dar es Salaam. Picha na Michael Matemanga
Photo: 2/4