Doris Kalasa aapishwa na Rais Samia kuwa Katibu Tawala wa Mkoa wa Iringa
Rais Samia Suluhu Hassan akimuapisha Doris Kalasa (kulia) kuwa Katibu Tawala wa Mkoa wa Iringa, kwenye hafla iliyofanyika Ikulu Chamwino, mkoani Dodoma Leo Februari 2, 2024. Picha na Ikulu
Photo: 1/2
Doris Kalasa akila kiapo cha kuwa Katibu Tawala wa Mkoa wa Iringa, alipokuwa akiapishwa na Rais Samia Suluhu Hassan kwenye hafla iliyofanyika Ikulu Chamwino, mkoani Dodoma Leo Februari 2, 2024. Picha na Ikulu