Timu ya taifa Japan imeendeleza mshangao kwenye Fainali za Kombe la Dunia baada ya kuifunga Ujerumani mabao 2-1 katika mchezo wa kundi E uliochezwa Uwanja wa Khalifa International.
Japan imeendeleza ilipoishia Saudi Araabia baada ya kuifunga Argentina mabao 2-1 katika mchezo wa kundi C.